Eneo Huru la Biashara la Afrika (African Continental Free Trade Area-AfCFTA) ni utaratibu wa pamoja wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika unaolenga kuchochea uchumi na Biashara miongoni mwa nchi wanachama. Lengo hilo litafikiwa kwa kufunguliana masoko ya biashara ya bidhaa na huduma kwa kuondoleana ushuru wa forodha (tariff) na kulegezeana masharti na taratibu nyingine zisizokuwa za kiushuru. Aidha, utaratib...
Kuchochea ukuaji wa uchumi na biashara baina ya nchi wanachama (intra-Africa trade) kwa US$29 trillion ifikapo 2050 .
Kuondoa ushuru wa forodha na vikwazo vya kibiashara
Kuondoa ushuru wa forodha na vikwazo vya kibiashara
Enhancing the Participation of Women in Trade in the Acceleration of AfCFTA Implementation https://au-afcfta.org/wit/