Mradi wa SADC Trade Related Facility (TRF)

Mradi wa SADC Trade Related Facility (TRF)

Wizara ya uwekezaji, Viwanda na Biashara inatekeleza Mradi wa Trade Related Facility (TRF) ambao Tanzania ni mojawapo ya nchi wanachama wa SADC zinazofaidika na Mradi huo.  Mradi huo unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya (European Union-EU) kupitia Sekreterieti ya SADC. Mradi huo unalenga kusaidia nchi wanachama wa SADC kutekeleza Itifaki ya Biashara ya Jumuiya hiyo (SADC Trade Protocol) na kuimarisha us...

Malengo

Development of the national industrial policy and strategic framework, including its implementation strategy

Upgrading the Tanzania sunflower value chain focusing on strengthening capacity in SPS and Standards and Quality Management system

Trade facilitation for sunflower products, focusing on effective administration of rules of origin

Trade promotion and addressing non- tariff barriers (NTBs and  enhancing trade in services through preparation of regulatory impact assessments for priority services sectors ( communications, finance, transport and tourism) and related capacity building 

Wasiliana Nasi

  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • Mji wa Serikali, Mtumba, Mtaa wa Viwanda S.L.P 2996, 40478, Dodoma Jengo la Mambo ya Nje 4th Floor Shaaban Robert Street, Dar es Salaam, Tanzania
  • 0
  • 0
  • info@mit.go.tz