Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

UZINDUZI WA BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tantrade Agosti 22,2025 katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.