Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Matangazo

Ufunguzi wa Wiki ya Viwanda na Biashara


Ufunguzi wa Wiki ya Viwanda na Biashara utawajumuisha wafanyabiashara wadgo na wakubwa nchini Tanzania na kuwapafursa yaa wafanyabasharahao kubadilishana mawazo na kupeana mbinu mbalimbali za kupata masoko ya bidhaa zao mbalimbali.

Uuguzi huo utafanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini DSM