Dira na Dhamira
DIRA
Uchumi shindani na stahimilivu wa viwanda na biashara, unaochochea maendeleo jumuishi na endelevu.
DHAMIRA
Kuchochea maendeleo ya viwanda na biashara Tanzania kwa kuimarisha mifumo ya uzalishaji viwandani na biashara ili kutumia ipasavyo eneo la kimkakati na rasilimali za nchi kwa ajili ya ukuaji jumuishi na endelevu.
