Huduma za Sheria
Lengo
Kutoa ushauri wa kitaalamu katika Huduma za Sheria kwa Wizara.
Majukumu
- Kuandaa rasimu na kufanya mapotio ya Sheria;
- Kutoa ushauri wa kisheria kwa Wizara na Taasisi;
- Kuandaa na kufanya mapitio ya Mikataba; na
- Kuendesha mashauri Mahakamani na katika Mabaraza ya maamuzi.