Kiwanda cha kutengeneza Vioo cha Sapphire Float Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani. Kina uwezo wa kuzalisha Tani 700 za kioo kwa siku, Ajira za moja kwa moja 1,650 na ajira zisizo rasmi 6,000. Malighafi zinazotumika kuzalisha vioo zaidi ya asilimia 80 zinapatikana nchini ikiwa ni pamoja na dolomite, silca sand, limestone, feldspar pamoja na magadi soda yanayopatikana Engaruka