Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Hotuba katika Uzinduzi wa Siku ya Wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji wadogo Tanzania


Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Balozi Dkt John Stephen Simbachawene akitoa hotuba katika Uzinduzi wa Siku ya Wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji wadogo Tanzania (TASSIM na TAMISID) septemba 21,2024, Dar es Salaam.