Habari
Kikao kazi cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Kijaji na Wakuu wa Idara ya Vwiwanda, Biashara na Uwekezaji Nchini

Mkurugenzi wa Sera,Mipango na Uratibu Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Needpeace Wambuya akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Hashil Abdalah kufunga Kikao kazi cha siku mbili cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu kijaji na Maafisa biashara wa Mikoa na Wakuu wa idara za Viwanda,Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri nchini Aprili 07,2024 Mkoani Morogoro.
Kikao hicho cha siku mbili kilianza Tarehe April 6,2024 na kufikia tamati Aprili 7,2024.