Habari
Maoni ya Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Ushindani ya Mwaka 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akitoa maoni ya Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Ushindani ya Mwaka 2024 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Agosti 16, 2024 katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.