Habari
Mhe. Charles Mwijage (Waziri) akutana na balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) akutana na balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke.