Habari
Kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta binafsi
Kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta binafsi wafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya fedha mjini Dodoma, katika mkutano huu serikali imepokea mapendekezo na maoni mbalimbali kutoka kwa wadau wa sekta za Utalii, Uchumi, Viwanda, Mazingira n.k ili kuyafanyia kazi katika mpango wa bajeti ya mwaka 2017.