Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mradi wa Kimkakati wa magadi soda Engaruka


Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) akiangalia na kupewa maelezo ya kuwepo kwa kisima cha maji yenye magadi katika mradi wa Kimkakati wa magadi soda Engaruka na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo, (NDC) Dkt Nicolaus Shombe wakati wa ziara yake alipotembelea Mradi huo Engaruka Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha, Agosti 26,2024.