Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kibiashara (TAC), inayomilikiwa na TradeMark Africa,


 

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt.Hashil Abdalah (aliyesimama mkono wa kulia) amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kibiashara (TAC), inayomilikiwa na TradeMark Africa, Bw.Duncan Onyango akiongozana na Mkurugenzi wa TradeMark nchini Tanzania, Bw. Elibariki Shammy na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa TCA, Bi. Antoinette Tesha, kuhusu utekelezaji wa kuendeleza sekta ya Biashara Machi 10, 2025 katika ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Serikali (Mtumba), Dodom