Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.