Habari
Taarifa

Kuna taarifa imesambaa katika mitandao ya kijamii kwa mtu alitengeneza account ya "Twitter "akitumia jina la Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage Taarifa hii si ya kweli na account sio ya Mhe. Waziri. Hatua za kisheria zitachukuliwa kwa aliyehusika.