Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Hafla ya uwekaji jiwe la msingi jengo la TBS -Jijini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Mhe Kassim Majariwa Majariwa akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la TBS (Viwango House) Juni 04, 2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.