Habari
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) akisalimiana Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe (Mb)
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) akisalimiana Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe (Mb) baada ya kuwasilisha hotuba ya Bajeti ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa fedha 2025/2026 Mei 14, 2025 bungeni Dodoma.