Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ushiriki wa Tamasha la Utamaduni la Kitaifa Septemba 23, 2024 mkoani Ruvuma


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) akisalimiana na Mawaziri wenzake pamoja na Viongozi Mbalimbali wakati wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma na kukagua maboresho ya uwanja huo Septemba 23, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma.