Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Uzindua Soko la Madini katika Wilaya ya Tunduru Septemba 26, 2024 wakati wa Ziara yake Mkoa wa Ruvuma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Selemani Jafo (watatu kushoto) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde (watatu kulia ) pamoja na Viongozi wengine alipokuwa akikata utepe kama ishara ya kuzindua Soko la Madini katika Wilaya ya Tunduru Septemba 26, 2024 wakati wa Ziara yake Mkoa hum