Habari
Ministry officials, heads of institutions, monitoring the Ministry's budget for the 2025/2026 financial year.
Viongozi na Watumishi wa Wizara pamoja na Wakurugenzi Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara wakifuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.