Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za kati azungumuza na wajasiriamali.
.jpg)
Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za kati kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Consolata Ishebabi akizungumuza na wajasiriamali kutoka mikoa ya Mbeya, Arusha na Dar es Salaam waliopata mafunzo juu ya uendeshaji biashara, kabla ya kupata fedha kwa ajili ya mitaji kutoka taasisi ya kifedha ya FAIDIKA. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa FAIDIKA Marion Moore na kulia ni Mwalimu wa wajasiriamali Bi. Mariam Tambwe.