Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Hotuba ya Wizara ya Viwanda na Biashara ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2021/2022

Hotuba ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (mb.), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2021/2022. Kwa taarifa zaidi Bonyeza Hapa