Kongamano la Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Ukumbi wa Mwl. J. K Nyerere
Kongamano la Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Ukumbi wa Mwl. J. K Nyerere.
Kongamano hili limefanyika tar. 28/04/2016 ambalo lilishirikisha Viongozi wa Serikali ya Urusi na Tanzania.
Viongozi wa Serikali ya Tanzania na Urusi walioshiriki ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda na Biashara kutoka Urusi Mhe. Denis Manturov, Waziri wa Viwanda na Biashara na Masoko wa Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali pamoja na Mweneyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Bw.Reginald Mengi na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Generali Wyjones Kisamba