Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Sensa ya Viwanda nchini Tanzania tarehe 17 Oktoba, 2016.

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa Kushirikiana na Tume ya Takwimu Tanzania (NBS) tunatarajia kuwa na uzinduzi wa ripoti ya Sensa ya Viwanda nchini Tanzania ambapo wadau mbalimbali wa maendeleo ya Viwanda wamealikwa kuhudhuria. Ripoti ya Sensa ya Viwanda iliyofanyika mwaka 2013 itazinduliwa rasmi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (mb), uzinduzi utafanyika ukumbi wa Dar es salaam International Conference Centre (DICC).