Maonesho ya wakulima nane nane Mkoani Lindi
Maonesho ya wakulima nane nane Mkoani Lindi 2017.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji inapenda kuwataarifu wananchi wote kuhudhuria Maonesho ya Nane nane yatakayofanyika Mkoani Lindi kuanzia Tar. 28 hadi Tar. 8, 2016
Wizara itashiriki Maonesho hayo kueleza huduma mbalimbali zinazotolewa na Wizara na taasisi zilizo chini ya wizara na pia kuonesha bidhaa zinazotengenezwa na Viwanda vya nchini.
Tukiwa na kauli mbiu ya NUNUA BIDHAA ZA TANZANIA, JENGA TANZANIA.