Ziara ya Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang, Kutembelea Eneo Huru la Uwekezaji (EPZA).
Ziara ya Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang, Kutembelea Eneo Huru la Uwekezaji (EPZA) na kufika kiwanda cha kutengeneza Vocha za mitandao ya simu pamoja na kadi za benki na Vitambulisho cha Card (Africa) Ltd na kufanya mazungumzo ya kuendeleza uhusiano wa kibiashara katika uwekezaji baina ya Tanzania na Vietnam