Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Kitabu cha Usambazaji na Uhamasishaji wa Muhtasari wa Sera za Usalama wa chakula kwa Watunga Sera wa ngazi za juu


Mkurugenzi Msaidi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bi. Chresencia Mwimbwa (wakwanza kushoto) akipokea kitabu cha Usambazaji na Uhamasishaji wa Muhtasari wa Sera za Usalama wa chakula kwa Watunga Sera wa ngazi za juu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi Agosti 14, 2025 jijini Dodoma.