Habari
						
							
								
Ukaguzi wa  jengo jipya la Utawala na ili kujionea hatua ya ujenzi ilipofikia
							
							
							
							
							
								
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera (aliyevaa miwani) ameiongoza Menejimenti ya Wizara hiyo kukagua jengo jipya la Utawala na kujionea hatua ya ujenzi Juni 03, 2025 jijini Dodoma.