Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ndg.Ally Hapi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Wizara ya Viwanda na Biashara


Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg.Ally Hapi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kuhusu kazi zinazotekelezwa na Wizara pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo baada ya kutembelea banda la Wizara hiyo katika maonesho ya nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma 03 Agosti 2025.