Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Changamoto mbalimbali zilijadiliwa na kutolewa ufafanuzi ili kuboresha mazingira ya biashara


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Balozi Dkt. John Simbachawene akishirikiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa kuongoza Majadiliano ya biashara kati ya Tanzania na Japan ambayo yamefanyika leo Agosti 15,2024 jijini dar es salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC)

Katika kikao hicho Changamoto mbalimbali zilijadiliwa na kutolewa ufafanuzi ili kuboresha mazingira ya biashara na kukuza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania na Japan.