Habari
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika Mei 1, 2025 mkoani Singida
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakishiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika Mei 1, 2025 mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.