Habari
DKT. SERERA AKABIDHI TUZO KWA WASHINDI WA HUDUMA BORA WIKI YA WATEJA 2025 MLIMANI CITY

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Suleiman Serera akitoa Tuzo na vyeti kwa washindi wa huduma bora wakati wa Hafla ya wiki ya huduma kwa wateja 2025 ilioandaliwa na CSW Tanzania katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.