Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian


Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani jafo(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian Juni 3,2025 katika ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendeleza na kuimarisha ushirikiano uliopo wa Biashara na shughuli za Uwekezaji baina ya nchi hizo mbili