Habari
Dkt. Abdallah akutana na TAMSTOA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah amekutana na Kufanya mazungumzo na viongozi wa Medium and Small Track Owners Association [TAMSTOA] kwa lengo la kupokea changamoto wanazokumbana nazo katika kutekeleza shughuli zao Novemba 11 , 2023 katika Hotel ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.