Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Hashil Abdallah amuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara katika wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara (M13)


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akimuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji katika wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara (M13) uliofanyika tarehe 26 Feb. 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa ADNEC, Abudhabi katika Falme za Kiarabu. Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania, Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania, Umoja wa Mataifa Dkt. Abdallah Saleh Possi na kulia ni Mhe. Balozi Luteni Generali (Mstaafu) Yacoub Hassan Mohamed