Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Hashil Abdallah aongoza kikao cha utendaji cha timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS)


 

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ameongoza kikao cha utendaji cha timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) inayosimamia ujenzi wa jengo la Maabara na ofisi (Viwango House) Januari 20, 2025 jijini Dodoma.