Habari
Dkt. Hashil Abdallah akisalimiana na wadau mbalimbali wakati alipowasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (Kwala Industrial Park
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akisalimiana na wadau mbalimbali wakati alipowasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (Kwala Industrial Park), kabla ya mgeni Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwasili eneo hilo Julai 31, 2025 Kwala, mkoani Pwani.