Habari
Dkt.Suleiman Serera akishiriki katika hafla ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayozinduliwa Julai 17, 2025
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt.Suleiman Serera akishiriki katika hafla ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayozinduliwa Julai 17, 2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.