Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Hashil Abdallah Akabidhi Tuzo kwa DTD


Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Biashara ( DTD) Bi.Chrecensia Mwimbwa iliyotokana na Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ya ( WRRB) kushinda tuzo ya mshindi wa pili kwa huduma bora zinazotolewa na Taasisi na Mashirikia ya Umma nchini.

Aidha tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Bi Mwimba Wakati wa Kikao cha Menejimenti ya Wizara kilichofanyika 26 Agosti, 2025 katika ukumbi wa Wizara, Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.