Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

DKT. JAFO AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE


Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE) wakiapa kiapo cha Maadili mbele ya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo wakati wa Uzinduzi wa Bodi hiyo Agosti 22,2025 katika Ukumbi wa Kilimanjaro Viwanja vya Mwl.Nyerere, Dar es Salaam.