Habari
Dkt. Suleiman Serera akitembelea banda la Wizara la Viwanda na Biashara pamoja na Taasisi zake nanenane
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera akitembelea banda la Wizara la Viwanda na Biashara pamoja na Taasisi zake alipotembelea Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane akiwa ni mgeni wa siku katika Maonesho hayo yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni 06 Agosti 2025.Jijini Dodoma