Habari
Yaliyojili katika hafla za uwekaji jiwe la msingi jengo la (TBS) VIWANGO HOUSE,
Waziri Mkuu wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Kasimu Majaliwa Majaliwa akipokea tuzo ya shukrani kwa niaba ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania katika hafla ya utiaji wa jiwe la msingi wa jengo la Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linalojengwa katika eneo la Ndajengwa jijini Dodoma tarehe 04 Juni 2025.