Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mkutano wa Nne (4) wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda wa Zambia, Bi. Lilian Bwalya alipowasili kwenye Mkutano wa Nne (4) wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika Agosti 20, 2025 Nakonde Zambia.

Mkutano huo ngazi ya Makatibu Wakuu umetanguliwa na Mkutano wa Watalaam uliofanyika Agosti 18 na 19, 2025 Nakonde, Zambia.