Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Makao Makuu na Maabara ya kanda ya kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS)


Muonekano wa Jengo la Makao Makuu na Maabara ya kanda ya kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) @tbs_viwango ambalo Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) imelitembelea Machi 12,2025 Jijini Dodoma.