Habari
Mkutano wa majadiliano ya ngazi ya juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) ameshiriki katika kikao cha Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa majadiliano ya ngazi ya juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo nchini Februari 28, 2025 jijini Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, pamoja na Wanadiplomasia na Washirika wa Maendeleo wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania.