Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mhe.Dkt.Selemani Jafo atembelea Kiwanda cha Chemicotex


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo akitembelea Kiwanda cha Chemicotex kinachotengeneza bidhaa za dawa za meno na miswaki ya Whitedent kwa lengo la kukna uzalishaji wake kilichopo Jijini Dar es Salaam, Agosti 13,2025.