Habari
Dkt. Stergomena Tax akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Wizara ya Viwanda na Biashara
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe.Dkt. Stergomena Tax akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kuhusu kazi zinazotekelezwa na kusimamiwa na Wizara hiyo mara baada ya kutembelea banda la Wizara na taasisi zake katika maonesho ya Nanenane yanafanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Nzuguni jijini Dodoma 05 Agosti 2025.