Habari
Mhe.Kasim Majaliwa akipokea zawadi ya kumbukumbu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Selemani Jafo(Mb)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa akipokea zawadi ya kumbukumbu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Selemani Jafo(Mb) wakati wa Ufungaji rasmi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 13,2025