Habari
Uzinduzi wa Kiwanda cha Mabati ya rangi (ALAF COLOR COATING LINE)
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt. Selemani Jafo(Mb) akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Mabati ya rangi (ALAF COLOR COATING LINE) Juni 03,2025 Jijini Dar es Salaam